logo

TAMISEMI

Dira na Dhima

Dira

Kuwa Taasisi inayoongoza katika kuwezesha Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kutoa huduma bora kwa wananchi.

 

Dhima

Kutengeneza mazingira wezeshi ya utekelezaji wa Sera ya Ugatuaji wa Madaraka kwa Umma, Maendeleo Vijijini na Mijini, Sheria, Miongozo na Viwango ili kuiwezesha Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kutoa huduma bora kwa wananchi na kuondoa umaskini.

Matangazo Muhimu

Soma matangazo na taarifa rasmi ili kuendelea kufahamu shughuli zinazotekelezwa na Wizara.

Habari na Matukio

Soma matangazo na taarifa rasmi ili kuendelea kufahamu shughuli zinazotekelezwa na Wizara.

Cookie

We use cookies to enhance your browsing experience, provide personalized content, and analyze our traffic. By clicking "Accept All Cookies", you agree to the storing of cookies on your device to improve site navigation, analyze site usage, and assist in our marketing efforts. To learn more about how we use cookies and to manage your preferences, please visit our Cookie Policy.
National Election Commission Logo

Uchaguzi 2025

Kujiandikisha Kuwa Mpiga Kura ni Msingi wa Uchaguzi Bora