• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

ZAIDI YA 334 BILIONI ZATOLEWA NA SERIKALI KUBORESHA MIONDOMBINU

Imewekwa tar.: November 12th, 2018


Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imeshatoa zaidi ya shilingi 334 bilioni kuboresha miundombinu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kupitia Mradi wa Uboreshashi na Uimarishaji Mamlaka za Serikali za Mitaa ( ULGSP).


Hayo yamesenwa na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Barbara Mijini na Vijijini (TARURA) Eng. Victor Seif wakati wa ufunguzi wa kikako cha kazi cha tathimini ya utekelezaji wa mradi wa ULGSP kilichofanyika katika ukumbi wa AICC, Jijini Arusha.


Eng. Seif alieleza kuwa Serikali kupitia Ofisi yaRais Tamisemi imeshatoa idadi hizo za fedha katika Halmashauri 18 zinazotekekeza mradi wa ULGSP zikiwemo; Moshi, Singida, Shinyanga, Geita, Musoma, Bariadi, Bukoba, Songea, Njombe Iringa, Sumbawanga, Mpanda, Tabora, Morogoro, Korogwe, Kibaha, Lindi na Babati, ili kuboresha miundombinu na huduma za kijamii kwa lengo la kupunguza kwa wananchi na kuboresha maisha yao.


“Mradi  huu umebadili kabisa sura na madhari ya miji hii inayotekeleza mradi huu kutokana na miundombinu bora iliyojengwa na kuboresha shunguli za kiuchumi na kijamii kwa wananchi,” alisema Seif.


Alieleza kuwa  sasa mradi umefanikiwa; kukamilisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa 105.8 Km na nyingine 47.1 km zipo kwenye hatua mbalimbali za kukamilishwa,” alisema Seif.


Pia alieleza kuwa kuna mikataba mbalimbali iliyosainiwa ambapo  utekelezaji unaendelea ni  ujenzi wa Stendi Tisa (9) za mabasi za kisasa ambapo stendi tano zimeshakamilika na zinatumika na Nne (4) zipo katika hatua mbalimbali za kukamilika.


Halikadhalika alieleza kuwa maeneo mengine yanayotekelezwa kupitia fedha hizo ni ujenzi wa machinjio za kisasa Nne (4), masoko ya  kisasa mane (4) pamoja na sehemu ya maenesho ya malori (Lorry packing) moja.


Eng. Seif alizitaka Halmashauri zinazotekeleza miradi hiyo kuhakikisha kuwa inatunzwa na kudumu kwa manufaa ya jamii.


“ Ni vema sasa mhakikishe kuwa bajeti ya kutosha inatengwa kwa ajili ya matengenezo na ukarabati na kuzikabidhi barabara zilizokamilika kwa TARURA kwa ajili ya ukarabati kwa wakati (timely maintenance),” alieleza Seif.


Aidha alizitaka Halmashauri kushirikiana na wananchi katika kutunza miundombinu iliyojengwa hasa ya stendi, machinjio na mifereji ya mvua ili iweze kudumu kwa muda mrefu.


Pia Eng. Seif aliwashukuru wadau wa maendeleo hasa Benk ya Dunia kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutatua changamoto mbalimbali mijini hasa za miundombinu kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo.


Kwa upande wake Kiongozi wa kikundi kazi cha utekelezaji wa miradi ya maendeleo kutoka Benki ya Dunia bwana Erick Dickson alisema kuwa ni lazima sasa Halmashauri zinazotekeleza miradi hii kuhakikisha kuwa miradi inawanufaisha wananchi na na kugusa maisha yao halisi,  si kuangalia kilomita ngapi za barabara zimejengwa Pete yake.


“Lengo kubwa la mradi huu sijenga miundombinu pekee bali ni kubadili maisha ya jamii husika na kuleta manufaa katika maisha yao. Ni lazima sasa muanze kufuatilia na kuchukua taarifa kutoka kwa wananchi wanenufaikaje na miradi hii,”alisema Erick.


Mradi wa ULGSP unatejelezwa katika Halmashauri za Manispaa na Miji 18 kwa fedha za mkopo nafuu takribani USD 255 milioni kutoka Benki ya Dunia kwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.



Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato

    January 21, 2021
  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Asilimia 10 inavyoibua Wajasiriamali Arusha

    January 19, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.