• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Wananchi waiomba Serikali kuwajengea vituo vya kutolea huduma za afya.

Imewekwa tar.: June 19th, 2019

Wananchi wa Kijiji cha Sunga kata ya Sunga katika Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu wameiomba Serikali kuwajengea miundombinu ya vituo vya kutolea huduma ili kuwasaidia wananchi ambao wanatembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo.

Wameyasema hayo  mbele ya Timu ya ufuatiliaji inayoshughulika na Mradi wa Huduma ya Afya ya  Uzazi na Mtoto kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa OR-TAMISEMI kupitia ufadhili wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Idadi ya watu (UNFPA)iliyotembelea kijiji hicho ili kujionea miundombinu ya Zahanati ya Sunga katika Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu.

Bw.Kulwa Lucas ambaye ni mwananchi wa kijiji hicho amesema Zahanati hiyo  inajengo moja lenye vyumba viwili ambapo kimoja hutumika kwa ajili ya huduma zote za mama na mtoto ikiwemo kujifungua na kingine hutumika kwa  huduma zote za magonjwa ya nje  jambo ambalo si sahihi kwa jamii na kinyume cha miongozo ya huduma za afya katika ngazi ya Zahanati.

Amevitaja vijiji vinavyopata huduma katika Zahanati ya Sunga kuwa ni Kijiji cha Iramna ndogo, Kijiji cha Puga  na Kijiji cha Sunga   na miundombinu barabara  ni mibovu na amaeeleza kuwa zahanati hiyo ipo katika umbali wa kilometa 55  kutoka Mjini ambapo ndipo kuna Hospitali ya Wilaya ya Meatu.

“Kijiji cha Sungu ni moja ya kijiji ambacho wanaishia Makabila ya Wasukuma , Wadzabe  na Watindiga ambao mara nyingi huishi ndani ya mashimo, hivyo tunaiomba Serikali kuona umuhimu wa kuwajengea vituo vya kutolea huduma za afya ikiwemo kuboresha na kuongeza majengo mengine katika Zahanati hiyo  ili kuwapunguzia changamoto ya kutembea umbali mrefu kutafuta huduma za hiyo.

Amesema kuwa mama wajawazito wengi huamua kujifungulia kwa wakunga wajadi kutokana na umbali wa vijiji na kutokuwa na usafiri pale wanapohitaji kujifungua pia Zahanati hiyo kutokuwa na wodi ya wazazi na usiri wakati wa kujifungua  imechangia kwa kiasi kikubwa vifo vya mama na mtoto katika kijiji hicho.

Bw. Lucas ameendelea kufafanua kuwa kutokana na udogo wa Zahanati ya Sungu wameamua kubuni mbinu mbadala ambapo watoto hupimwa na kupata huduma ya chanjo chini ya mti ili kupunguza msongamano katika Zahanati hiyo.

Wakati huohuo Mratibu wa Mradi wa Afya ya Uzazi na Mtoto RMNCH-UNFPA na Huduma za Uuguzi kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bi.  Dinah Atinda amesema tayari serikali kupitia mradi wa UNFPA imetuma fedha kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Mama na mtoto na ununuzi wa vifaa ili kupunguza tatizo hilo.

Aidha ameiomba timu ya usimamizi wa huduma za afya katika Mkoa na Halmashauri ya Wilaya ya Meatu kufuatilia na kusimamia kwa karibu ujenzi wa wodi ya wazazi kwa kufuata ramani na miongozo iliyopo ili ikamilike ifikapo Septemba, 2019.

Na. Angela Msimbira MEATU


Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato

    January 21, 2021
  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Asilimia 10 inavyoibua Wajasiriamali Arusha

    January 19, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.