• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Wahudumu ya afya ya jamii Mkoani Simiyu wanolewa

Imewekwa tar.: June 22nd, 2018

Mratibu wa mradi wa RMNCAH- UNFPA Idara ya Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Bi. Dinah Atinda amesema wahudumu wa ngazi za jamii wanajukumu kubwa la kutoa elimu, habari na unasuhi wa awali kwa wanawake wajawazito.

Ameyasema hayo wakati akifungua  mafunzo ya siku saba kwa wahudumu wa afya ya Jamii Mkoani Simiyu inayohusu kuboresha  afya ya Uzazi na Watoto wachanga ili kupunguza vifo vya mama na mtoto  kwa wahudumu wa afya jamii Mkoani Simiyu.

Amesema  kuwa ushirikishwaji wa jamii unatoa fursa kwa jamii  kujihususha  kufanya maamuzi yanayohusiana na afya zao na inaendeleza  kufikia mikakati inayoweza  kusaidia kupunguza kuchelewa kwa wanawake na familia zao  kupata huduma za afya.

Amesema kuwa lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu ili waweze kuisaidia jamii ambayo kwa sasa inaangamia kwa kukosa huduma bora za afya, kutokana na vifo vingi vya mama wajawazito na mtoto Mkoani Simiyu

Amesema kuwa wamama wajawazito wengi hujifungulia kwa wakunga wa jadi na kukosa huduma iliyo sahihi jambo ambalo linasababisha wakinamama wengi kufa kwa kukosa huduma za msingi za afya hivyo ni jukumu la watoa huduma ya afya ya jamii kuhakikisha wanatoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa kujifungulia katika vituo vya afya.

Amesema takwimu zinaonyesha kuwa Mikoa ya Kanda yaziwa inaongoza kwa vifo vya mama na mtoto lakini Mkoa wa Simiyu unaidadi kubwa ya vifo vya Mama na Mtoto kwa asilimia 50 kutokana na mila potofu zilipo katika Mkoa huo

Amesema Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI ) kwa kushirikiana na  wafadhili kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Ongezeko la Watu Duniani( UNFPA) wameboresha vituo vya afya na Zahanati  ili viweze kuzalisha kinamama na  kutoa huduma za upasuaji ndani ya vituo vilivyopo katika Halmashauri zao  na kupunguza vifo vya mama na mtoto katika Mkoa huo.

Amesema Serikali kupitia shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Ongezeko la watu Duniani (UNFPA) wameweza kujenga imejenga vituo vya afya 38 vyenye uwezo wa kufanya upasuaji na zahanati ambazo zilikuwa hazina wodi za wazazi ziweze kuzalisha akina mama na majengo yakikamilika vitapatiwa vifaa ili huduma ya afya iwe nzuri kwa jamii.

Bi. Dinah amesisitiza kuwa Wahudumu wa afya ya jamii wanajukumu kubwa la kuelimisha jamii juu ya kuondokana na mila potofu, wakina mama kuudhuria Kiliniki na Zahanati zilizoko katika maeneo yao ili kupunguza vifo vya wamama wajawazito na watoto wachanga Mkoani Simiyu.

Anaandika Angela Msimbira, OR-TAMISEMI  

Matangazo

  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Taarifa ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri kwa kipindi cha nusu Mwaka (Julai – Disemba, 2019) kwa Mwaka wa fedha 2019/2020 February 09, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Asilimia 10 inavyoibua Wajasiriamali Arusha

    January 19, 2021
  • Viongozi TBA Kigoma matatani kwa kushindwa kukamilisha miradi

    January 18, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.