• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App

Waalimu Wakuu Nchini watakiwa kutoruhusu wizi na udanganyifu katika mitihani

Imewekwa tar.: February 27th, 2019

Walimu wakuu nchini wametakiwa kutoruhusu wizi na udanganyifu katika  mitihani ili kuweza kuzalisha vijana bora na wenye weledi mzuri katika kuwatumikia watanzania.

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo wakati wa uzinduzi wa  Umoja wa Walimu Wakuu  wa Shule za Msingi Tanzania Bara(TAPSHA) leo Jijini Dodoma.

Mhe.Jafo amesema kuwa kila mwalimu anawajibu  wa kuhakikisha wanasimamia vyema wizi na udanganyifu wa ina yoyote wa mitihani mashuleni  ili kuzalisha vijana wenye uwezo mzuri katika kulitumikia taifa la Tanzania kwa kuwa  watanzania wanahitaji matokeo chanya kutoka kwa vijana wao ndio maana wanawekeza katika elimu.

“Naomba Walimu wakuu na walimu wote nchini kuendelea  kushirikiana kwa kufanya kazi kwa pamoja ili kufanyikisha azma ya Serikali ya  kumpatia mtoto wa kitanzania  hasa mtoto wa maskini elimu bora itakayomsaidia katika maisha yake”Ameeleza Mhe.Jafo.

 Mhe.Jafo ameongezea na kusema kuwa kupitia umoja huu walimu wote nchini amewaaiza kuhakikisha wanasimamia matumizi ya fedha kwa kufuata taratibu na miongozo yote waliyopewa ili kuimalisha elimu nchini kwa kuhakikisha  kuwa wanafunzi wote wafahamu kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK).

Mhe.Jafo amesema serikali iko makini kuhakikisha kuwa mazingira ya kutolea elimu yanakuwa bora na rafiki kwa makundi yote ili kuleta usawa kwa wananchi wake.

Aidha  Mhe.Jafo ametoa wito kwa wenye shule binafsi kuona namna ya kuweka tozo za ada ambazo kila mtanzania anaweza kuzimudu ili watanzania wanufaike kwa huduma ya elimu inayotolewa na wazawa wa nchi hii.

Naye Katibu wa Umoja wa Walimu Wakuu  wa Shule za Msingi Tanzania Bara(TAPSHA) Bi.Fatuma Kalembo ametoa neno la shukrani kwa niaba ya umoja huo kwa kusema kuwa watahakikisha wanayatekeleza maagizo yalyotolewa  ili kuleta chachu katika kuzalisha vijana wakitanzania walio bora katika elimu wanayoipata  kutoka kwao.

Umoja wa TAPSHA  umetokana na Umoja wa shule za msingi mkoa wa Da er salaam ambao uliazishwa mwaka 1994, mwaka 2010 Walimu wakuu wa shule za msingi wa mkoa wa Dar es salaam  na baadhi toka mikoani ikiwemo mkoa wa Dodoma walikubaliana kwa pamoja kuanzisha TAPSHA kwenye mkutano uliyofanyika shule ya sekondari Loyola na mwaka 2018 Januari umoja huu ulisajiliwa  rasmi na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na kupewa namba ya usajili S.A 20991.



Matangazo

  • Badili Tahasusi kwa Wanafunzi Kidato cha Tano Tarajali na Vyuo vya Kati March 29, 2021
  • Kitabu cha Maombolezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. John Pombe Joseph Magufuli March 18, 2021
  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • TARURA Iringa watumia shilingi milioni 153 kukarabati barabara za Kalenga

    April 12, 2021
  • Shilingi bilioni 1.5 zatumika kujenga vituo vinne vya afya Tunduru

    April 12, 2021
  • Waziri Ummy aanza na Sekretarieti za Mikoa

    April 12, 2021
  • Katibu Mkuu mpya Ofisi ya Rais TAMISEMI akabidhiwa ofisi

    April 12, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.