• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Usimamizi Utaongeza Mapato Soko la Dhahabu Geita – Nyamhanga

Imewekwa tar.: February 10th, 2020

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga ameridhishwa na mradi wa soko la dhahabu lililopo Halmashauri ya Mji Geita na kuagiza kuimarisha ukusanyaji wa mapato.

Mhandisi Nyamhanga ametoa kauli hiyo wakati akifanya ziara yake ya kikazi ya kujionea miradi ya maendeleo ambayo imefikia hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na soko la madini katika Halmashauri ya Mji Geita.

“wekeni usimamizi wa karibu katika ushuru wa huduma ili mapato ya Halmashauri yaongezeke na kutumika kwa ajili ya shughuli za maendeleo”

Nyamhanga ameagiza kuchukua hatua kwa baadhi ya kampuni za madini  ambazo zimekuwa zikitoa makadirio ya gharama kubwa za ujenzi kwa miradi wanayoifadhili kama mashule na vituo vya kutolea huduma za afya na kwamba pawepo na utaratibu maalum wa kuweka sawi bei za vifaa mbalimbali vya ujenzi kama vilivyo kwa mujibu wa bei za Serikali  .

Soko la dhahabu la Geita linalojengwa kwa thamani ya shilingi Bilioni 1.7 katika awamu tatu na limefikia asilimia 75 ya ujenzi wote.

Kwa upande wake Katibu Tawala Mkoa wa Geita Bw. Dennis Bandisa amesema wataendelea kuhakikisha thamani halisi ya fedha inapatikana kutokana na mradi huo lakini pia kuhakikisha mchakato maalum unaanzishwa ili makampuni yanayotoa misaada yanafuata bei na taratibu za manunuzi ya Serikali ili kuokoa kiasi cha fedha kinachoweza kupotea.  

Mradi huo unatarajiwa kuongeza mapato ya ndani kwani katika katika kipindi cha mwezi Julai hadi Disemba 2019 jumla ya zaidi ya shilingi milioni 138 zilikusanywa na matarajio ya baadaye ni kukusanya zaidi ya shilingi bilioni moja kila mwaka.

Katika hatua nyingine Mhandisi Nyamhanga amekagua ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa kutumia tofali maalum katika shule ya sekondari ya Nyanza Geita Mji na kupongeza hatua iliyofikiwa ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa thamani halisi ya fedha.

Mhandisi Nyamhanga yup ziarani mkoani Geita kwa ajili ya kukagua miradi ya maendeleo na kujionea utoaji wa huduma kwa wananchi.

          Anaandika Fred Kibano

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Bil 16.4/- zarejesha hadhi ya Shule za Sekondari za Ufundi nchini

    January 22, 2021
  • Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato

    January 21, 2021
  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.