• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Ujenzi Sekondari Mji Mpya Wahamisha, Washusha Cheo Maafisa

Imewekwa tar.: July 9th, 2019

Serikali imesikitishwa na kuzorota kwa ujenzi wa shule ya sekondari Mji Mwema Katika Manispaa ya Morogoro hali ambayo imemlazimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga kuchukua hatua.

Mhandisi Nyamhanga ameagiza kuhamishwa kituo cha kazi Afisa Elimu Sekondari pia kumhamisha nje ya mkoa na kumshusha cheo Afisa Ugavi wote wa Manispaa ya Morogoro.

“nimeagiza mara nyingi sana toka mwezi Aprili ujenzi huu uanze lakini umeanza kwa kuchelewa, kwa nini ujenzi umeanza kwa kuchelewa, kwa nini wanafunzi wote 840 mmekwenda kuwarundika  shule ya sekondari Tushikamane?” Alihoji Mhandisi Nyamhanga.

Aliyehamishwa kituo cha kazi ni Bw. George Oguta Afisa Elimu Sekondari ambaye amehamishiwa Halmashauri ya Kilombero na Peter Lebalwa Afisa Ugavi ambaye amemwagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Bw. John Mgarula kumshusha cheo na kumhamisha na pia Katibu Tawala Mkoa Bw. Clifford Tandari kumwamisha nje ya Mkoa kutokana na kushindwa kusimamia ujenzi wa shule ya sekondari Mji Mpya na kusababisha msongamano wa wanafunzi katika shule ya sekondari Tushikamane ambayo ina wanafunzi 640 na kupokea wanafunzi wa Mji Mpya 840.

Aidha, Mhandisi Nyamhanga amemtaka Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Bw. John Mgarula kujitathmini kama anatosha kwa kushindwa kuwasimamia watumishi walio chini yake kwani ameshindwa kuanza ujenzi kwa wakati kuepuka msongamano wa wanafunzi uliotokea sasa.

Awali Mkurugenzi huyo akisoma taarifa mbele ya mgeni rasmi, amesema ujenzi huo ambao upo katika hatua ya msingi na zege umefikia asilimia 30 jambo ambalo Mhandisi Nyamhanga hakukubaliana nalo.

Mgarula amesema ujenzi huo utagharimu shilingi Bilioni moja na milioni 450 ambazo zote ni kutoka Serikali Kuu. Pia mkandarasi Corporation Sole Works Superintendent amekwishalipwa asilimia 50 sawa na shilingi milioni 715 na ujenzi huo unatarajiwa kukamilika tarehe 25 Oktoba mwaka huu.

Kwa upande wake Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Bw. Clifford Tandari amesema wameyapokea maagizo ya Serikali na kwamba watafanya kazi ya ujenzi usiku na mchana kwani wamefunga taa za kumulikia ili kukamilisha ujenzi wa shule na wanafunzi wapatao 840 waanze masomo mapema iwezekanavyo.

                  Anaandika Fred Kibano

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Bil 16.4/- zarejesha hadhi ya Shule za Sekondari za Ufundi nchini

    January 22, 2021
  • Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato

    January 21, 2021
  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.