• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Serikali yaridhishwa na usimamizi wa miradi ya maendeleo Tanga

Imewekwa tar.: July 8th, 2020


Na. Angela Msimbira TANGA

Waziri wa Nchi Ofisi  ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo ameridhishwa na usimamizi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Jiji la Tanga,Mkoani Tanga

Ametoa kauli hiyo leo wakati akizindua Mradi wa Dampo la Kisasa lililojengwa kupitia mradi wa Uendelezaji Miji  Kimkakati (Tanzania Strategic Cities) wakati wa ziara ya kikazi  ya kukagua  miradi ya maendeleo inayosimamiwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  kupitia Halmashauri ya Jiji la Tanga, Mkoani Tanga.

Mhe. Jafo amesema kuwa Jiji la Tanga limekuwa ni la mfano wa kuigwa  kwa Halmashuari zote nchini  kwa kuwa limeweza kusimamia kwa weledi miradi mbalimbali iliyotengewa fedha na Serikali na hivyo kulifanya Jiji hilo kuwa na mabadiliko makubwa katika suala zima la maendeleo.

Amesema kuwa zaidi ya shilingi bilioni 7 zimetumika katika ujenzi wa Dampo la Kisasa chini ya Mradi wa Uendelezaji Miji Kimkakati,, shilingi bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa jengo  la Utawala pamoja na  shilingi bilioni 8 zimetumika kujenga Stendi ya mabasi fedha ambazo ni kutokana na makusanyo ya mapato ya Ndani  ya Jiji la Tanga hivyo bila usimamizi  wenye weledi fedha hizi zisingefikia malengo yaliyopangwa na Serikali ,

Ameupongeza uongozi wa  Mkoa wa Tanga kwa  usimamizi  mzuri wa  miradi ya maendeleo  jambo ambalo limefanikisha kukamilika kwa wakati  na dhamani ya fedha zilizotumika kwenda sambamba na majengo yaliyojengwa, jambo ambalo linasaidia kusogeza maendeleo karibu na wananchi kwa wakati, na kukuza uchumi wa  Jiji la Tanga na Taifa kwa ujumla.

“Nimevutiwa na utekelezaji na usiamizi wa miradi ya maendeleo katika Mkoa wa Tanga, jambo hili linaonyesha kuwa umoja na ushirikiano baina ya watendaji huleta maendeleo kwenye jamii na Taifa kwa ujumla” Amesisitiza Mhe. Jafo

Mhe. Jafo amewataka watumishi wote nchini  kufanyakazi kwa kwa maarifa weledi na kudumisha  ushirikiano katika utendaji kazi wa kila siku  ili kutimiza azma ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli ya kutoa huduma bora kwa wananchi maskini na kuleta maendeleo kwa jamiii.

Wakati huohuo, Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Jiji la Tanga  Bw. Kizito Nkwabi amesema  mradi wa dampo la kisasa umegharimu  zaidi ya shilingi bilioni  8 ikiwa ni mradi  wa uendelezaji  Miji  na Majiji ambapo lengo likiwa  ni idhibiti wa taka ngumu kwa viwango vinavyozingatia  hifadhi ya mazingira na afya jamii.

Aidha Mhe. Jafo amekamilisha ziara yake katika Halmashauri ya Jiji la Tanga ambapo aliweza ukagua Ujenzi wa Dampo la Kisasa, Ujenzi wa Jengo la Utawala na Kituo cha Mabasi cha Pongwe Mkoani Tanga.





Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato

    January 21, 2021
  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Asilimia 10 inavyoibua Wajasiriamali Arusha

    January 19, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.