• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Serikali yachunguza walioshiriki udanganyifu mitihani darasa la saba

Imewekwa tar.: November 24th, 2020

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga amesema serikali  imeanza kuwachunguza waliohusika katika udanganyifu wakati wa mtihani wa darasa la saba 2020 na kuwa yeyote atakayebainika atachukuliwa hatua kali.

Ameyasema hayo leo wakati akitoa tathimini ya matokeo ya darasa la saba mwaka 2020 kwa vyombo vya Habari, kwenye Ofisi za TAMISEMI Mtumba Jijini Dodoma

Mhandisi Nyamhanga amesema Ofisi ya Rais-TAMISEMI inalaani vikali tabia ya udanganyifu na ukiukwaji tararibu za ufanyaji mitihani na kuwa tayari wameanza uchunguzi wa suala hilo utakaofanyika kwa wiki moja.

Amefafanua kuwa endapo kuna mtumishi wa serikali au sekta binafasi atabainika kuhusika kwa namna moja au nyingine katika udanganyifu Serikali itachukua hatua kali za kinidhamu na kisheria.

“ Kumekuwa na tabia ya mara kwa mara kwa baadhi ya shule, wanafunzi, walimu na wasimamizi wa mitihani kukiuka taratibu za ufanyikaji na uendeshaji wa mitihani ya kitaifa, tunaalani vikali tabia hiyo na uchunguzi unaendelea.”Amesisitiza Mhandisi Nyamhanga

Amesema atakayebainika atachukuliwa hatua za kinidhamu na kisheria ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia hiyo, kwa kuwa udanganyifu huu umesababisha wanafunzi 1,059 kufutiwa matokeo na unakatisha ndoto na malengo ya vijana wetu ambao wangekuwa wataalamu wa fani mbalimbali kwa miaka ijayo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limewafutia matokeo wanafunzi 1,059 kutoka shule 38 kutokana na tuhuma za udanganyifu wa mitihani.

Aidha, Jumla ya watainiwa 1,009, 586 walifanya mtihani ya kumaliza Elimu ya Msingi kati ya hao watahiniwa 833,672 wamefaulu ikiwa ni asilimia 82.68 ikiwa ni ingezeko la asilimia 1.18 kutoka ufaulu wa asilimia 81.50 mwaka 2019.

Hata hivyo kwa mwaka huu, watahini 14,364 sawa na asilimia 1.4 ya waliosajiliwa hawakufanya mtihani kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo utoro na ugonjwa.

Aidha, Mhandisi Nyamhanga amesema kuwa mafanikio haya yanatokana na juhudi za Serikali, wananchi, wadau wa maendeleo, ukarabati wa miundombinu ya shule, utoaji wa elimumsingi  bila malipo, ununuzi na usambazaji wa vifaa vya kujifunza na kufundishia na mafunzo ya mara kwa mara ya walimu kazini.



Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Taarifa ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri kwa kipindi cha nusu Mwaka (Julai – Disemba, 2019) kwa Mwaka wa fedha 2019/2020 February 09, 2020
  • Tangazo la kazi kada ya Afya January 20, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • “PS3 plus” Yarudi kwa kishindo, Bilioni 114 kuwezesha Mifumo Sekta ya umma nchini

    January 16, 2021
  • Serikali yagawa vifaa vya bilioni 3 kwa Wanafunzi 18,488 wenye mahitaji maalum

    January 14, 2021
  • Mweli awatolea uvivu kidato cha Nne, Sita, awajenga kinidhamu

    January 11, 2021
  • Mweli awatega Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu kwenye Mfumo wa PREM/PREMS.

    January 10, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.