• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App

Serikali, PS.3 Wapongezwa Misungwi

Imewekwa tar.: August 2nd, 2019

Watendaji katika Halmashauri ya Misungwi mkoani Mwanza wamepongeza juhudi zilizochukuliwa na Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI pamoja na Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma nchini PS.3, kufuatia kukamilisha uundwaji wa mfumo jumuishi wa Ufuatiliaji na Tathimini (integrated Monitoring and Evaluation System- iMES) ambao utawezesha kupata taarifa na takwimu katoka jukwaa moja.

Pongezi hizo zimekuja wakati huu ambao Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI, kwakushirikiana na Wizara za kiseta pamoja na Wadau wa Maendeleo nchini USAID, kupitia Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma nchini kukamilisha utengenezaji wa mfumo wa iMES ambao unalengo lakutatua tatizo la upatikanaji wa taarifa na takwimu kwaajili yakufanya maamuzi kwenye mipango ya maendeleo.

Akiongea wakati wa Majaribio ya Mfumo huo, Mwalimu Meshack Chaula, ambaye amekuwa kwenye dawati la takwimu katika Halmashauri ya Misungwi kwa kipindi cha Mwaka mmoja, amesema hapo awali walikuwa na kasoro ndogo ndogo za kimfumo hasa kutokana na kutokuwepo kwa jukwaa moja ambalo lingekuwezesha kuona takwimu zakutoka sekta nyingine lakini sasa iMES imekuja kutoa suluhu.

“Lazima tukiri kuwa, Serikali inafanya kazi nzuri na katika hili tunajionea kazi kubwa katika mifumo mbalimbali, sote tunajua tatizo la taarifa na takwimu katika nchi yetu,   mfano mdogo ni hapa katika Halmashauri yetu tuliletewa fedha za kukamilisha maboma ya vyumba vya madarasa mawili  kwa kila shule, lakini katika ile orodha iliyokwenda ngazi za juu zilikuwepo shule mbili hazikuwa na sifa za vyumba viwili, suala hili lilitokana na kutokuwa na dashboard moja ya taarifa, alisema Chaula.

Mbali na kupongeza, wataalam hao wanaiona iMES kuwa Mfumo utakao mrahisishia mtumaji wa taarifa pindi zinapo hitajika muda wowote, kutokana na kwamba ni   web Based system.

“Kwa iMES, unaweza kutuma taarifa hata ukiwa njiani ili mradi uwe na kifurushi cha mtandao kwenye kishkwambi au simu janja yako” anasema Chaula na kusisitiza kuwa, kuna wakati mtu anaombwa taarifa akiwa hajajiandaa, hivyo baadhi ya taarifa   zikawa zinatumwa bila usahihi kutokana kuwa na vyanzo tofauti tofauti lakini kwakuwa sasa taarifa zote zitapatikana kwenye jukwa moja ni imani yetu kukinzana kwa takwimu hakutakuwepo.

Kwa upande wake, Katibu wa Afya katika Hospitali ya Wilaya ya Misungwi bibi Swaiba Ngulugulu pamoja na kupongeza, yeye ameelekeza maombi yake kwa watengenezaji juu ya taarifa za mfumo wa DHIS-2 na mifumo mingine kama FFARS na Epicor kuvutwa katika mfumo wa iMES ili kuondoa kujirudiarudia kwa ujazaji wa takwimu, alisema  Swaiba.

“Tutafarijika kuona takwimu za Mifumo mingine zinavutwa moja kwa moja kwakuwa mambo mengi tunayo yajaza ni yale yale tu, mfano taarifa za fedha, taarifa watumishi, kwakutaja kwa uchache.” alihitimisha Swaiba.  

Mkoa wa Mwanza na Halmashauri zake za Jiji la Mwanza, Manispaa ya Ilemela na Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, zimekuwa Halmashari za mwanzo kabisa kuanza kuutumia mfumo ambapo jumla ya watumiaji 63 kutoka sekta tofauti tofauti wamewezeshwa kuanza kuutumia mfumo wa iMES.

Anaandika Atley Kuni


Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Kafanyeni Tohara kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi

    March 04, 2021
  • Uhaba wa Saruji wachelewesha ujenzi wa barabara za Mji wa Serikali

    March 03, 2021
  • Natoa siku siku 12 mtatue kero za soko la Ndugai na Stendi kuu ya Mabasi- Waziri Jafo

    March 03, 2021
  • Agizo la ujenzi wa vyumba vya madarasa 2257 latekelezwa

    March 02, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.