• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

RC’S, DC’S, tumieni siku 14 kupata takwimu sahihi za watoto wenye mahitaji maalum- Waziri Jafo

Imewekwa tar.: January 4th, 2021

Na Atley Kuni, Mwanza

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jafo amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha wanasimamia ipasavyo utaratibu wa kubaini watoto wenye mahitaji maalumu.

Utaratibu wa kubaini watoto wenye mahitaji maalum utafanyika kwa muda wa siku 14 kuanzia Januari 7 hadi 21, 2021.

Waziri Jafo ametoa agizo hilo jijini Mwanza, alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu kwa wataalam wa elimu maalum, maafisa maendeleo ya jamii na wauguzi, yanayofanyika katika ikumbi wa Chuo cha Ualimu Butimba jijini Mwanza.

“ Baada ya mafunzo haya kuanzia tarehe 7 mpaka 21 Januari mwaka huu tutafanya kampeni ya kubainisha watoto wote wenye mahitaji maalum. Niwaagize wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kote nchini kila mmoja akasimame kidete tufanikishe utaratibu huu,” amesema Mhe. Jafo

Waziri Jafo ameongeza kuwa: “ kukamilika kwa utaratibu wa kutambua watoto wenye mahitaji maalum itakuwa suluhu yakubainisha mahitaji maalum kwa watoto wenye mahitaji maalum hususani eneo la miundombinu ya shule.”

Aidha, Waziri  Jafo amewataka pia viongozi wa vijiji, mitaa na vitongoji, kuwa vinara katika kubainisha watoto wenye mahitaji maalum katika maeneo yao.

“ Viongozi wa vijiji, mitaa na vitongoji ndio mnaoishi na jamii kwa karibu katika mitaa yenu na pia ndio wanaojua nyumba ya mwanachi gani kuna mtoto mwenye mahitaji maalum, hivyo mnatakiwa kutoa ushirikiano wakutosha kwa wataalam hawa watakapofika kutekeleza kazi hii.”

Waziri Jafo pia amemuagiza Mkurugenzi wa Elimu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, kuhakikisha anawasilisha taarifa ya takwimu sahihi katika Ofisi yake  mara tu baada ya kukamilika kwa kazi hiyo ambayo inakwenda sambamba na upangaji wa mipango ya maendeleo ya nchi.

Awali akitoa salaamu za Mkoa, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella, alimhakikishia Mhe. Waziri kuwa,  kazi hiyo itafanyika ipasavyo.

“ Kwa niaba ya wakuu wa mikoa wenzangu, nikuhakikishie kazi hii ifanyike ipasavyo na pia tutasimamia kwa umakini mkubwa ili tija iliyo kusudiwa na Serekali iweze kutimia.

Jumla ya Wataalam 314, kutoka mikoa yote ya Tanzania bara wanapatiwa mafunzo ya siku tatu katika Chuo cha Ualimu cha Butimba, kilichopo mkoani Mwanza, mafunzo hayo yanashabaha ya utekelezaji wa sensa maalum ya kubaini watoto wote wenye mahitaji maalum  ili waweze kuandikishwa na kuanza masomo katika shule mbalimbali nchini.


Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vikundi 47 Kondoa vyapewa mikopo ya shilingi milioni 147

    February 24, 2021
  • Mikopo ya Shilingi Milioni 85 yatolewa kwa Vikundi wilayani Bunda

    February 24, 2021
  • Mradi wa Fursa na Vikwazo Iliyoboreshwa Kuingizwa kwenye Majukumu ya OR - TAMISEMI

    February 23, 2021
  • Mikopo ya Sh. Milioni 850 yatolewa kwa Vikundi 104 jijini Tanga

    February 15, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.