• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

“PS3 plus” Yarudi kwa kishindo, Bilioni 114 kuwezesha Mifumo Sekta ya umma nchini

Imewekwa tar.: January 16th, 2021

Na Fred Kibano, Dodoma

Jumla ya dola za kimarekani milioni 49.9 sawa na shilingi Bilioni 114.7 za kitanzania zimetengwa na Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (‘Public Sector Strengthen Programme awamu ya pili PS3 Plus) kwa kipindi cha miaka 5 kuanzia mwezi Julai, 2020 hadi Julai, 2025, ili kuendelea kufanya kazi na Serikali kama sehemu ya wadau wa maendeleo wanaoshirikina na Serikali kwa karibu.

Akiongea wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha siku mbili kilichofanyika Jijini Dodoma jana na kuwahusisha wataala wa Habari kutoka TAMISEMI, Wizara ya Afya na Kilimo, Mkurugenzi wa Tathmini, Ufuatiliaji na Mafunzo kutoka Mradi wa PS3 Bw. Kusekwa Sono, amesema lengo la mradi huo ni kuimarisha mifumo inayosaidia utoaji bora wa huduma kwa wananchi na wadau matahalani kama uimarisha ukusanyaji wa mapato ya Serikali kwa njia ya kieletroniki nk.

Alisema katika kipindi cha miaka mitano iliyopita mradi ulijikita kuimarisha mifumo ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa hususani kwenye Mikoa yake 13 na Halmashauri 93 ya Tanzania Bara.

“Lakini katika katika awamu hii ya pili mradi utafanya kazi kwenye mikoa yote 26 Tanzania Bara pamoja na Zanzibar na Halmashauri zake, Wizara za Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wizara ya Kilimo, na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,” alisema.

Akiwasilisha mada katika kikao hicho, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais TAMISEMI, Nteghenjwa Hosseah amesema matarajio ya ofisi ni kuendelea kuwajengea uwezo Maafisa Habari wa Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, kuboresha Tovuti, kufanya mapitio ya mkakati wa mawasiliano wa wizara, kuwa na mwongozo maalum wa hati miliki, uanzishwaji wa studio ya wizara, jarida la mifumo yetu, kuwa na siku ya Tuzo za waandishi wa Habari za jarida la ‘Mifumo Yetu’

Baadhi ya kazi zilizofanyika katika kipindi cha miaka mitano ya mradi huo kwenye eneo la mawasiliano ni uanzishwaji wa tovuti za Mikoa, Halmashauri pamoja na Wizara na wadau wake, mafunzo ya uandishi wa Habari za mitando na taarifa za tovuti kwa Maafisa Habari kote nchini.

Kurejea kwa wadau wa maendeleo hao kutatoa wigo wa Ofisi ya Raie-TAMISEMI, pamoja na Wizara zingine za kisekta kuendelea kuwahudumia watanzania katika Nyanja mbalimbali.

Mwisho

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vikundi 47 Kondoa vyapewa mikopo ya shilingi milioni 147

    February 24, 2021
  • Mikopo ya Shilingi Milioni 85 yatolewa kwa Vikundi wilayani Bunda

    February 24, 2021
  • Mradi wa Fursa na Vikwazo Iliyoboreshwa Kuingizwa kwenye Majukumu ya OR - TAMISEMI

    February 23, 2021
  • Mikopo ya Sh. Milioni 850 yatolewa kwa Vikundi 104 jijini Tanga

    February 15, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.