• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Nyamhanga awataka wanachama wa TOA kushiriki Mikutano

Imewekwa tar.: January 20th, 2020

 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhandisi Joseph Nyamuhanga amewataka wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Wataalamu Tanzania na Osaka (TOA) kuwasilisha michango yao kwa wakati na kushiriki mikutano ya kikatiba ili kujenga uimara wa Jumuiya hiyo.

Wito huo umetolewa leo jijini Dodoma katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa wanachama wa TOA.

“Uimara wa jumuia ni michango  na vikao kwani TOA inaendeshwa kwa kutumia michango ya ada na viingilio vya wanachama pamoja na ruzuku kutoka Shirika la Maendeleo la Japani(JICA)” amesema Nyamuhanga.

Pia Nyamuhanga ameeleza kuwa kupitia mkutano huo wanachama watapata kubadilishana mawazo na uzoefu jinsi ya utekelezaji wa azma ya serikali katika kuwafikishia wananchi wake huduma nzuri na kwa ufanisi wa hali ya juu.

Nyamuhanga ameendelea kusisitiza kuwa wanachama hao waendelee  kutumia jumuiya hiyo kuongeza chachu katika utoaji wa huduma kwa wananchi.

Naye Mwenyeki wa TOA Profesa Riziki Shemdoe awali akitoa taarfa fupi ya jumuiya hiyo amesema kuwa katika mkutano huo watajadili maboresho ya katiba ya TOA , mpango mkakati  na suala kubwa la kubadilisha jina la jumuiya hiyo.

Akiendelea kusema Profesa Shemdoe  amesema kuwa TOA inamadeni ambayo ni ya muda mrefu yanayofikia kiasi cha shilingi zaid ya milioni 4000, kitu ambacho kinafanya umoja huo kuwa tegemezi zaidi kuliko ambavyo tungeweza kujiendesha.

“Kutokana na changamoto hiyo uongozi unaendelea kuhamasisha wanachama kulipa michango yao lakini bado kuna kusuasua” ameeleza Profesa Shemdoe.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Makatibu Tawala Mikoa ambaye pia ni Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Rehema S. Madenge akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wenzake amesema kuwa kupitia mkutano huu watapata kufanya uhamasishaji kwa kutekeleza yote yaliyoelekezwa na viongozi wao.

TOA ilianzishwa rasmi kama Jumuiya ya Umoja wa Wataalam waliyopata mafunzo ya ugatuaji wa madaraka Jijini Osaka, Japani, baadaye katiba ya TOA iliboreshwa na uwanachama na kuwa Taasisi (Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa) pamoja na washiriki wa mafunzo ya Osaka- Japani.

MWISHO



Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato

    January 21, 2021
  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Asilimia 10 inavyoibua Wajasiriamali Arusha

    January 19, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.