• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Mweli ataka Bajeti kuwa shirikishi

Imewekwa tar.: January 7th, 2020

Naibu Katibu Mkuu  anayeshughulikia Elimu Ofisi ya Rais TAMISEMI Gerald Mweli amewataka Makatibu Tawala wasaidizi wa Mikoa wa sehemu ya mipango,  uratibu na usimamizi wa Serikali za mitaa nchini  kuhakikisha kuwa mipango ya bajeti itakayoandaliwa katika mwaka 2020/2021 inakuwa na ushirikishwaji wa kutosha na umiliki wa viongozi katika ngazi zote nchini.

Mweli ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao kazi cha Makatibu Tawala wasaidizi wa Mikoa wa sehemu ya mipango, uratibu na usimamizi wa Serikali za mitaa nchini kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano uliyopo katika ofisi za TAMISEMI jijini Dodoma.

Mweli amesema ushirikishwaji wa viongozi utaongeza mashirikiano katika uandaaji wa bajeti na kuboresha utendaji kazi ili kufikia malengo na kuandaa bajeti inayogusa mahitaji ya wananchi katika Mkoa husika.

“Uandaaji wa mipango na bajeti kipindi hiki umerahisishwa kwa kuwepo na mifumo ya Kieletroniki ya PlanRep kwa halmashauri na CBMS kwa Mikoa , hivyo hatuna sababu za kuwa na mipango na bajeti isiyokidhi viwango” Ameeleza Mweli.

Pia  Mweli ameongezea kuwa Makatibu Tawala kuzingatia maelekezo ya viongozi wa kitaifa wafanyapo ziara katika maeneo yao ya kazi, vipaumbele vya Mkoa kulingana na fursa zilizopo na kuhakikisha maandalizi ya bajeti yanalenga kuimarisha utoaji wa huduma  katika  ngazi ya vituo vya kutolea huduma na uendeshaji wa Serikali katika ngazi ya msingi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Sera na Mipango OR-TAMISEMI John Cheyo amesema kila halmashauri inatakiwa kuwasilisha orodha ya miradi ya maendeleo kuanzia 2016 mpaka 2019 inayotekelezwa katika halmashauri zao.

“Naimani kubwa  kikao hiki kitasaidia kuondoa changamoto mnazokutana nazo katika kuaanda bajeti  katika maeneo yenu” ameongezea Bw.Cheyo.

Akitoa neno la utangulizi katika kikao hicho  Mkurugenzi Tawala za Mikoa TAMISEMI Beatrice Kimoleta amesema ni kuwakumbusha Makatibu Tawala kufanya kazi zao kwa weledi unao takiwa ili kuleta ufanisi katika utendaji  kazi  na kuwatumikia watanzania na taifa kwa ujumla ili kuleta maendeleo na kukuza uchumi.

Naye Katibu Tawala Msaidizi  Mkoa wa Mbeya  Mwajuma Nyamkomora akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wenzake amesema kikao hicho  kimewapa mwanga katika kutekeleza majukumu yao na kimewaongezea uwezo  kutaka kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kazi.

“Natoa wito  kwa TAMISEMI  ni vyema utamaduni huu wa kutujengea uwezo kabla na baada ya kuaanda bajeti za mwaka husika zifanyike mara mbili kwa mwaka kabla na baada ya kuaanda bajeti ili kuwasilisha bajeti itakayoendana na matakwa ya mahitaji ya mikoa yetu” ameshauri Bi. Nyamkomora.



Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato

    January 21, 2021
  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Asilimia 10 inavyoibua Wajasiriamali Arusha

    January 19, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.