• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Mhandisi Nyamhanga atoa miezi mitatu kukamilika kwa jengo la upasuaji, Kilolo

Imewekwa tar.: December 5th, 2020

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi PACHA Building construction kukamilisha ujenzi wa Jengo la Upasuaji ifikapo Februari, 2021

Mhandisi Nyamhanga ameyasema hayo leo wakati alipotembelea Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya hiyo Mkoani Iringa.

Amesema kuwa Hospitali hiyo kwa sasa imekamilika na imeanza kutoa huduma za wagonjwa wa nje, lakini bado kuna baadhi ya majengo ambayo ujenzi wake haujakamilika jambo ambalo linarudisha nyuma juhudi za Serikali za kuhakikisha huduma zote za afya zinapatikana karibu na wananchi

Akifafanua zaidi amesema kuwa mkadarasi huyo aliwasilisha hati za malipo tatu na tayari Serikali ilishalipa hati mbili, hivyo anawajibu wa kuhakikisha Jengo hilo linakamilika kwa wakati uliopangwa ili lianze kutoa huduma kwa jamii.

“Hakuna sababu ya mkandarasi kusimamisha ujenzi, kwa kuwa serikali imeshalipa baadhi ya fedha, naagiza mkandarasi Pacha Buildingi Construction kuhakikisha anamaliza ujenzi ili wananchi wa Kilolo waweze kupata huduma ya upasuaji katika Hospitali hiyo” amesisitiza Mhandisi Nyamhanga

Wakati huo Mhandisi Nyamhanga Aidha. ameuagiza  uongozi  wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kuhakikisha wanasimamia kikamilifu   ujenzi wa  majengo yaliyobaki  katika  Hospitali ya Wilaya ya Kilolo ili iweze kutoa huduma  kwa jamii.

Akisoma taarifa ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Kituo hicho Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo  Dkt Mohamed Manguna  amesema  mradi umegarimu zaidi ya shilingi  bilioni 4.3 ambapo Serikali imetoa  zaidi ya shilingi bilioni 4, wadau wa maendeleo shilingi milioni 37 na  zaidi ya shilingi  milioni 336  zimetolewa  na Halmashauri hiyo  kutoka katika mapato ya ndani.

Aidha, Dkt. Manguna  amesema kuwa kukamilika  kwa ujenzi  wa Hospitali  hiyo kutawezesha   Halmashauri kukabiliana  na magonjwa  ya kuambukiza, kupunguza  kiwango cha magonjwa  na vifo vya watoto wachanga na vifo vya mama wajawazito  kupunguza uhitaji mkubwa wa huduma za rufaa  hasa kwa akinamama wajawazito na watoto  na  kukabiliana  na uhitaji  mkubwa  wa huduma za dharura za upasuaji Mkubwa na mdogo unaotokana na ajali  za vyombo vya moto.


Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vikundi 47 Kondoa vyapewa mikopo ya shilingi milioni 147

    February 24, 2021
  • Mikopo ya Shilingi Milioni 85 yatolewa kwa Vikundi wilayani Bunda

    February 24, 2021
  • Mradi wa Fursa na Vikwazo Iliyoboreshwa Kuingizwa kwenye Majukumu ya OR - TAMISEMI

    February 23, 2021
  • Mikopo ya Sh. Milioni 850 yatolewa kwa Vikundi 104 jijini Tanga

    February 15, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.