• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Mara yatamba mbio za mita 400 UMITASHUMTA 2019

Imewekwa tar.: June 30th, 2019

Na Mathew Kwembe, Mtwara

Wanariadha kutoka mkoa wa Mara wametamba katika mbio za mita 400 zilizofanyika leo asubuhi kwenye viwanja vya chuo cha ualimu Mtwara baada ya kufanikiwa kuchukua medali za dhahabu kwenye mbio za mita 400 wavulana, na mbio za kupokezana kijiti mita 4 x 400 kwa wasichana, huku mkoa huo ukishika nafasi ya pili kwa mbio za mita 400 wasichana na kushika nafasi ya tatu kwenye mbio za kupokezana kijiti 4 x 400.

Mwanariadha Matiko Nyamaraga alifanikiwa kushinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 400 baada ya kutumia muda wa sekunde 55:28, huku nafasi ya pili ikichukuliwa na Doto Mwandu wa Simiyu aliyetumia muda wa sekunde 55:50, huku nafasi ya tatu ikichukuliwa na mkimbiaji Steven Stephano wa Tabora ambaye alitumia muda wa sekunde 55:72 na hivyo kufanikiwa kujishindia medali ya shaba.

Katika mbio za kupokezana vijiti wasichana, mkoa wa Mara ulijishindia nafasi ya kwanza baada ya wanariadha wake Zainabu Chacha, Anjelina Olembe, Nyanzobe Bahi na Nyairabu Chacha kufanikiwa kukimbia kwa kupokezana vijiti na kutumia muda wa dakika 4:18:97 na kuwashinda wanariadha kutoka mikoa mingine. Nafasi ya pili ilichukuliwa na wanariadha kutoka mkoa wa Mwanza ambao kwa jumla walitumia muda wa  dakika 4:20:91 na walioshika nafasi ya tatu Simiyu walitumia muda wa dakika  4:21:69.

Mkoa wa Mara ulishika nafasi ya pili kwa upande wa mbio za mita 400 wasichana baada ya mkimbiaji wake Angelina Olembe kushika nafasi ya pili ambaye alitumia muda wa dakika 1:01:85, huku aliyeshinda mbio hizo Lucia Nestory wa Mwanza ambaye alishika nafasi ya kwanza baada ya kutumia muda wa dakika 1:01: 80. Nafasi ya mshindi wa tatu ilichukuliwa na mwanariadha Johari Hussein wa Tabora ambaye alitumia muda wa dakika 1:02:22.

Kwa upande wa mbio za kupokezana vijiti wavulana mkoa wa Mara ulishika nafasi ya tatu kufuatia wanariadha wake Matiko Nyamaraga, David Paul, Josephat Maranya na Daniel Maiko kutumia muda wa dakika 3:53:45. Nafasi ya kwanza ilichukuliwa na wanariadha kutoka mkoa wa Simiyu ambao walitumia jumla ya dakika 3:51:88 huku nafasi ya pili ikienda kwa wanariadha wa mkoa wa Mwanza ambao walitumia muda wa dakika 3:52:12.

Katika mchezo wa kurusha mkuki wavulana Pascas Qurejo wa Manyara alifanikiwa kujishindia medali ya dhahabu baada ya kurusha mkuki umbali wa  mita 47 na sentimita 03, nafasi ya pili ilichukuliwa na Omary Abdallah wa Pwani ambaye alirusha umbali wa mita 38 na sentimita 93, na nafasi ya tatu ilichukuliwa na Bernard William wa Pwani ambaye alirusha umbali wa mita 38 na sentimita 67.

Mashindano hayo yanatarajiwa kumalizika tarehe 3 julai, 2019 ambapo yanatarajiwa kufungwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa  na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo katika uwanja wa Nangwanda mjini Mtwara.

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Bil 16.4/- zarejesha hadhi ya Shule za Sekondari za Ufundi nchini

    January 22, 2021
  • Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato

    January 21, 2021
  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.