• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

‘Karibu Tamisemi Tuchape Kazi’ Jafo

Imewekwa tar.: November 12th, 2018

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo amemkaribisha Mhe. Waitara Mikwabe Mwita(Mb) ambaye ameapishwa mapema leo hii kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI kujiunga na Timu ya Wizara katika  kufanikisha shughuli za maendeleo ya wananchi.

Akimkaribisha kuzungumza na watumishi katika Ofisi ndogo ya Dar es salaam Waziri Jafo amemwambia Mhe. Wairata kuwa Watumishi wa TAMISEMI wanaushirikiano wa hali ya juu  na  watakuwezesha  kufanikisha majuku yako.

“Karibu tuchape kazi hapa kwetu ni kazi tu; Sina shaka na wewe kwakuwa ni rafiki yangu wa siku nyingi na jirani jimboni kwangu hivyo nafahamu fika utendaji wako  karibu tuwatumikie watanzania” alisema Jafo.

Wakati huo huo Waziri Jafo aliwapongeza watumishi kwa weledi waliouonyesha kwa kipindi chote cha Uongozi wa Naibu Waziri Mhe. Joseph George Kakunda katika Wizara hii mpaka alipoteuliwa na kuapishwa rasmi leo hii kuwa Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji.

“Tumepata faraja kubwa sana kwa Mhe. Kakunda kuchaguliwa kuwa Waziri kamili na mafanikio haya ni yetu sote kwani tumefanya naye kazi nzuri zilizopelekea kuteuliwa katika nafasi ya juu zaidi ninawapongeza watumishi wote wa TAMISEMI na ninawasihi muendeleze kazi hii nzuri kwa Naibu Waziri Waitata: alisema Jafo.

Naye Naibu Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Waitara M. Mwita amesema ameteuliwa kuja  Tamisemi kuboresha shughuli mbalimbali za Wizara  na sio kuvuruga hivyo anahitaji ushirikiano wa watumishi waliopo.

“Mimi ni mtu wa kazi na TAMISEMI ninaifahamu kwa sababu nimewahi kuwa mwenyekiti wa mtaa wa mwaka 2014 na  mjumbe kwenye Kamati ya bunge ya TAMISEMI hivyo ninaifahamu vilivyo Wizara hii kwaiyo nataka kutumia uwezo wangu kuboresha zaidi shughuli za Wizara ili tuweze kutoa huduma bora kwa wananchi” alisema Waitara.

Aliongeza kuwa tutasumbuana kwenye kazi tu na sio kwenye mambo madogo madogo cha muhimu kwetu sisi ni kazi mengineyo hayana nafasi kwa wakati huu.

Katika uteuzi uliofanyika Novemba 10,2018 aliyekuwa Naibu Waziri TAMISEMI Mhe. Joseph George Kakunda aliteuliwa kuwa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji na nafasi yake kujazwa na Mhe. Waitara Mikwabe Mwita.

Mwisho.

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato

    January 21, 2021
  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Asilimia 10 inavyoibua Wajasiriamali Arusha

    January 19, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.