• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Karibu OR-TAMISEMI tuwahudumie wananchi.

Imewekwa tar.: September 24th, 2019

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt. Dorothy Gwajima amemkaribisha Ndg. Mathias Kabunduguru ambaye ameteuliwa kuwa Naibu katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu kujiunga na Timu ya Wizara katika kufanikisha shughuli za maendeleo ya wananchi.

Akimkaribisha leo katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa zilizoko Mtumba jijini Dodoma, Dkt. Gwajima amesema watumishi waOR-TAMISEMI wanaushirikiano wa hali ya juu na mshikanano thabiti katika suala zima la  kufanikisha majuku waliyopewa.

“Karibu tuchape kazi ya kuwahudumia wananchi, kwetu ni kazi tu; Sina shaka uwezo wako na utendaji wako, kwani  wewe umekuwa mwalimu wangu na ulinipokea katika utumishi wa umma hivyo nakukaribisha TAMISEMI ya wananchi  karibu tuwahudumie na kuwatumikia watanzania”Amesema Dkt. Gwajima.

Amewapongeza watumishi kwa weledi waliouonyesha kwa kipindi chote cha Uongozi wa Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Elimu Ndg. Tixon Nzunda  katika Wizara hii mpaka alipoteuliwa na  kuwa Katibu Mkuu anayeshughulikia Bunge na Waziri Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu.

“Tumepata faraja kubwa sana kwa Ndg. Nzunda kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu na mafanikio haya ni yetu sote kwani tumefanya naye kazi nzuri zilizopelekea kuteuliwa katika nafasi ya juu zaidi ninawapongeza watumishi wote wa TAMISEMI na ninawasihi muendeleze na  kazi hii nzuri kwa Naibu Katibu Mkuu (Elimu) Ndg. Mathias Kabundunguru” Amesema  Dkt. Gwajima.

Naye Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia elimu Ndg. Kabunduguru amewataka watumishi kufanya kazi kwa mujibu wa sheria ,kanuni na taratibu za kazi zinavyotaka ili kuhakikisha wanatimiza adhima ya kuleta matokeo bora ya maendeleo kwa watanzania na nchi kwa ujumla.

Ndg. Kabunduguru amesema kuwa kila mmoja anawajibu wa kuheshimu kazi muda wote ili kuweza kupata matokeo chanya ambayo msingi wake ni utii wa sheria,kanuni na taratibu za kazi ili kufanyikisha malengo yanayotakiwa kwa watanzania.

“Na ili kufanikiwa kufikia malengo hayo lazima tushirikiane kwa mimi kujifunza kutoka kwenu na nyinyi kujifunza nini nilicho nacho ili kufikia adhima yetu ya kujenga taifa moja kwani sote lengo letu ni moja” Ameeleza Ndg. Kabunduguru

Naye Katibu Mkuu anayeshughulikia Bunge na Waziri Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu.  Mhe.Tixson Nzunda amewashukuru watumishi wa OR-TAMISEMI kwa ushirikiano waliyompa kipindi chote alipokuwa akifanya nao kazi na kutaka kuendelea kutoa ushirikiano kwa Ndg. Kabunduguru  ili kufanikisha utekelezaji wa majukumu yake kwa ufasaha.

Aidha ikumbukwe kabla ya uteuzi wa hivi karibuni Ndg.  Kabunduguru alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi na Ndg. Nzunda alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia elimu.

Anaandika Angela Msimbira OR-TAMISEMI




Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato

    January 21, 2021
  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Asilimia 10 inavyoibua Wajasiriamali Arusha

    January 19, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.