• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Kakunda Awataka Wakurugenzi na Wakuu wa Wilaya Wapya kuacha Mivutano

Imewekwa tar.: October 9th, 2018

Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) anayeshughulikia ELIMU Joseph Kakunda amefungua rasmi mafunzo kwa Wakurugenzi wapya wa Halmashauri na Wakuu wapya wa Wilaya walioteuliwa na Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli hivi karibuni Jijini Dodoma leo.

Kakunda amewataka Viongozi hao kutambua kuwa wao ni tegemeo kubwa katika utekelezaji wa Sera za Serikali hivyo ni muhimu kujua wajibu wao, hasa kwa kuhimiza ushirikiano kwenye utekelezaji wa shughuli zinazolenga kuhudumua wananchi hapa nchini.

Aidha amewaagiza Viongozi hao kusimamia vyema suala la mimba za utotoni kwa kuwashughulikia wale wote wanaowaozesha na kuwapa mimba wanafunzi pamoja na kudhibiti utoro mashuleni.

Kakunda amewakumbusha pia kutumia busara katika kudhibiti migogoro kati ya wakulima na wafugaji katika maeneo yao kwa kutumia nidhamu na haki lakini pia kusimamia mapato na kudhibiti fedha za Umma, kusimamia vyema amani na utulivu pamoja na kufanya kazi bila mivutano katika maeneo yao ya kazi.

Katika hatua nyingine ameipongeza Taasisi ya Uongozi ambayo dhima yake ni kuimarisha viongozi wa afrika ili matokeo ya uongozi wao yawapatie majibu endelevu dhidi ya changamoto mbalimbali zinazowakabili Watanzania.

“tangu ianzishwe taasisi hii ya uongozi imetoa mchango mkubwa kwa serikali kwa kutoa mafunzo  kwa viongozi wa ngazi mbalimbali” alisema Kakunda.


Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu (AFYA) Ofisi ya Rais - TAMISEMI Dkt. Zainab Chaula amewataka Viongozi hao kutekeleza majukumu yao kwa kufuata Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

“naamini kila mtu alikabidhiwa ilani, yale ni mafunzo tosha kama kila mmoja atayasoma na kuyazingatia”alisema Dkt Chaula.

Naye Kaimu Mkurugrenzi Mtendaji wa Taasisi ya Uongozi Kadeli Singo amesema tathmini iliyofanyika mwezi juni mwaka 2018 imeonyesha mafunzo hayo yamekua na manufaa makubwa kwa Viongozi waliohudhuria na kuleta tija katika kazi zao.

Mafunzo ya Uongozi kwa Awamu ya Tano yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi ni mwendelezo wa mafunzo kwa Viongozi wapya ambao huteuliwa na Mamlaka mbalimbali ikiwa ni pamoja na Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa.


         Anaandika Magdalena Dyauli na Fred Kibano

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Bil 16.4/- zarejesha hadhi ya Shule za Sekondari za Ufundi nchini

    January 22, 2021
  • Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato

    January 21, 2021
  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.