• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Kitabu
    • Kuhusu Wizara
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mikataba wa Huduma kwa mteja
  • Utawala
    • Idara
    • Vitengo
    • Muundo wa Wizara
    • Mikoa, Wilaya na Halmashauri
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Mpango Miji Mkakati (TSCP)
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi
    • Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Machapisho
    • Hotuba ya waziri
    • Taarifa Mbalimbali
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Vipeperushi
    • Fliers
    • Burners
    • Sticker
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
  • Blog TAMISEMI

Kakunda anusa Harufu ya Ufisadi Halmashauri ya Ulanga Morogoro

Imewekwa tar.: August 3rd, 2018

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) Mhe. George Kakunda, ameagiza kufanyika uchunguzi wa kina kwa miradi ya maendeleo baada ya kubaini ubadhilifu wa mamilioni ya shingi katika halmashauri ya Ulanga.

Mhe. Kakunda ametoa agizo hilo alipofanya ziara katika halmashauri hiyo ambapo amemwagiza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Mussa Iyombe, kuunda timu maalum kufanya uchunguzi kwa miradi ya maendeleo pamoja na fedha za Serikali.

“lazima timu ichunguze hilo greda kama lilinunuliwa jipya au used (lililotumika), na linafanya kazi zake wapi, lina faida gani kwa jamii ya Ulanga, haiwezekani, milioni 400 kama mmedhamilia mngeweza kununua matrekta 40 mapya kabisa kwa shilingi milioni 400”, alihoji Kakunda.

Waziri Kakunda hakufurahishwa na halmashauri ya Ulanga kufanya uamuzi wa kununua greda kwa fedha za wananchi milioni 400 ambalo si kipaumbele cha wananchi na kuagiza wale wote waliohusika wachukuliwe hatua baada ya uchunguzi.

“Mngesema mnavikopesha vikundi kumi kwa mfano mngekuwa mmefika wapi, hata kama kikundi kimmoja kingechukua trekta moja kwa kulikodisha tu, hicho kikundi kingelikuwa kimefika wapi, mnaenda kununua greda, watu wote waliohusika, yeyote yule hata kama amestaafu kule kule alikostaafu lazima afuatwe, mimi namsifu Mbunge kwa kuliibua hili”, alisisitiza Kakunda.

Mwenyekiti wa halmashauri ya Ulanga Furaha Lilongeli, ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mwaya amekiri kutumika kwa shilingi milioni 400 kununua greda lakini walimwomba Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) aifute hoja hiyo kwa kuwa ni ya muda mrefu.

“katika hoja za ukaguzi tuliamua katika baraza la madiwani na Mhe. Mbunge (Mhe. Mlinga) akiwepo na alipokuja CAG (Mkaguzi wa Hesabu za Serikali) tulimwomba, kama ikiwezekana aifute hoja hii kwani ni ya muda mrefu, ilitokea wakati halmashauri ya wilaya ya Ulanga haijagawanywa katika halmashauri mbili za malinyi na Ulanga”

Katika hatua nyingine waziri Kakunda ameagiza kusitishwa kwa mradi wa kutengeneza chaki kwa kuwa sio kipaumbele cha vijana hao ambao wanafanya shughuli za ufugaji nyuki kwa sasa lakini Maafisa Maendeleo ya Jamii wamewapa mradi wa kutengeneza chaki.

“kama mtu anafanya kazi ya kilimo anatakiwa asaidiwe katika shughuli ya kilimo, kama mtu anafanya kazi ya asali unatakiwa umpe kiwanda cha kuchakata asali na nta, hiyo ndiyo kazi yake na anauzoefu wa hiyo kazi, wewe unampelekea chaki halafu kiwanda kikifa useme hawakuwa na uzoefu, kwanini, maamuzi hayo lazima yapinduliwe”, alisema Kakunda.

Naibu Waziri Kakunda ameendelea na ziara yake mkoani Morogoro ambapo amefanya ziara wilayani Ulanga na kutembelea shule ya sekondari Selina Kombani, Mafunzo ya Tusome Pamoja, kituo cha afya Lupiro na kuongea na watumishi wa  halmashauri, pia ametembelea halmashauri ya Mji na wilaya ya Kilombero na kuongea na watumishi na kukagua baadhi ya miradi ya maendeleo.


Anaandika Fred Kibano wa OR TAMISEMI

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2018. January 24, 2019
  • Michoro ya Majengo ya Vituo vya Afya February 10, 2018
  • Michoro ya Majengo ya Zahanati May 16, 2018
  • Michoro ya Majengo ya Hospitali za Wilaya Tanzania Bara September 16, 2018
  • Kuitwa Kazini, Ajira Mbadala za Benjamin Mkapa Foundation December 27, 2018
  • Taarifa kwa Umma/ Tarehe ya mwisho kuripoti Kidato cha Tano 2018 June 18, 2018
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Serikali Yatenga Bilioni 29.9 Kumalizia Maboma Yote ya Shule – Mhandisi Nyamhanga

    February 18, 2019
  • Ujenzi Hospitali za Wilaya Ukamilike kwa Wakati – Mhandisi Nyamhanga

    February 17, 2019
  • Dkt. Gwajima Atua Dar na Kampeni ‘Coordination’

    February 17, 2019
  • Serikali Yaagiza Maafisa Elimu Mikoa na Wilaya Kusimamia Taaluma

    February 16, 2019
  • Angalia zote

Video

Waziri Jafo akerwa na kusuasua kwa ujenzi wa stendi kuu ya mabasi Dar es salaam
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • File Management System (e-office)
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.