• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Jafo ashangazwa na kutokamilika kwa ujenzi wa kituo cha Afya Mkonze

Imewekwa tar.: June 12th, 2019

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo amekasirishwa na kasi isiyoridhisha ya ujenzi wa kituo cha Afya Mkonze Jijini Dodoma.

Waziri Jafo ameonyesha hali hiyo wakati alipotembelea KItuo cha Afya Mkonze kukagua maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho ambacho kimepokea fedha za ujenzi Tsh. Mil 400 mapema mwezi Disemba, 2018.

“Sikutegemea kukuta kituo cha Mkonze kikiwa katika hali hii, kituo hiki ni miongoni mwa vituo vilivyopelekewa fedha mapema tu na kiko mjini tena Makao Makuu ya Nchi mnashindwa na Halmashauri ambazo ziko pembezoni huko na zina changamoto nyingi lakini wameshakamilisha ujenzi nini kinakwamisha ujenzi wa kituo hiki.

Kituo hiki cha Mkonze kilitakiwa kiwe cha mfano, ujenzi ukamilike mapema kwa sababu kila kitu kiko karibu yenu, vifaa vya ujenzi  mnavipata kwa urahisi, hakuna changamoto ya usafiri ili mfike hapa hata Ofisi ya TAMISEMI iko hapa hapa sasa endapo mmekwama kitu mna njia nyingi za kutatua nashindwa kuelewa kwanini mpaka leo bado mnasua sua kukamilisha ujenzi wa kituo hiki” alisema Mhe. Jafo.

Waziri Jafo aliongeza kuwa Wananchi wanataka huduma za Afya  hawataki  hadithi  Mnatakiwa kuongeza kasi ya ujenzi na kukamilisha majengo yote yanayotakiwa tena kwa ubora wa hali ya juu na ifikapo Juni, 30 kituo hiki kikwe kimeshakamilika.

Naye Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi amesema kuwa fedha walizopokea ni Tsh Mil 400 kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho lakini kutokana na hadhi ya Jiji waliona watafute fedha zaidi ili kufanya Kituo hicho kiwe na ubora sawa na vituo vingine vilivyojengwa Jijini Dodoma.

“Tumeongeza Tsh Mil 100 kutoka katika mapato ya ndani ya Halmashauri sasa fedha hizi zilichelewa kubadilishiwa matimizi kwenye bajeti “Realocation” hiyo ndiyo sababu pekee iliyopelekea kuchelewa kwa baadhi ya kazi za ujenzi katika kituo hiki cha Mkonze;

Lakini kwa sasa tumeshafanikiwa kuhamisha izo fedha na tumepokea maelekezo na tutasimamia kuhakikisha kituo hiki kinakamilika ndani ya muda uliopangwa” Alisema Kunambi.

Ofisi ya Rais Tamisemi inatekeleza Mpango wa Maboresho wa Huduma za Afya ambapo Vituo vya kutolea huduma za Afya 352 vipo katika hatua mbalimbali zaukarabati, ujenzi na ukamilishaji. Kazi hii imefanyika kwa awamu tano.

Kati ya hivyo 304 ni Vituo vya Afya ambavyo vitatoa huduma za dharura ya upasuaji kwa mama mjamzito.


Matangazo

  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Taarifa ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri kwa kipindi cha nusu Mwaka (Julai – Disemba, 2019) kwa Mwaka wa fedha 2019/2020 February 09, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Asilimia 10 inavyoibua Wajasiriamali Arusha

    January 19, 2021
  • Viongozi TBA Kigoma matatani kwa kushindwa kukamilisha miradi

    January 18, 2021
  • “PS3 plus” Yarudi kwa kishindo, Bilioni 114 kuwezesha Mifumo Sekta ya umma nchini

    January 16, 2021
  • Serikali yagawa vifaa vya bilioni 3 kwa Wanafunzi 18,488 wenye mahitaji maalum

    January 14, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.