• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Jafo Aonya Halmashauri Ambazo Hazijashiriki Mafunzo ya Kuandaa Maandiko ya Miradi ya Kimkakati

Imewekwa tar.: June 19th, 2019

WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo ameionya mikoa ya Dodoma,Lindi na Njombe iliyoshindwa kupeleka watendaji wake kuhuduhuria semina ya kuandika miradi ya kimkakati.

Onyo hilo juzi jijini hapa wakati akifungua semina ya siku mbili iliyoshirikisha mamlaka za serikali za mitaa zilizopo Tanzania Bara na sekretarieti za mikoa semina iliyofanyika katika Chuo cha serikali za mitaa Hombolo.

Jafo alisema semina hiyo ni muhimu sana kwao kwa ajili ya kuwajengea uwezo utakaowawezesha kuibua miradi mbalimbali lakini ameshangaa mikoa hiyo kutopeleka watendaji wake.

“Hapa hatuna wawakilishi wa mkoa wa Dodoma,Njombe na Lindi wakati Dodoma mradi mkakati walioupata ni Kondoa peke yake,hakuna Bahi,Chamwino wala Jiji,Njombe nao hakuna mradi mkakati walioupata cha kushangaza kwenye semina hii hawapo,"alisema.

Alieleza Lindi wana mradi mkakati katika halmashauri ya Liwale na Ruangwa lakini bado hawajahudhuria semina hiyo na Mtwara halmashauri wana mradi katika halmashauri moja lakini Nanyumbu,Masasi,Newala,Tandahimba na Nanyamba hakuna mradi wowote walioupata lakini pia hawajahudhuria.

"Hii Nanyamba ni halmashauri ya mwisho katika ukusanyaji wa mapato nawaagiza  wahakikishe awamu ya pili ya semina hiyo wanakuwepo,"alisema.

Jafo alisema mpaka sasa kiasi cha Sh.Bilioni 268.37 zimeshatolewa na serikali kwa ajili ya kugharamia miradi 38 na hapo kuna halmashauri hazijaguswa na miradi hiyo kutokana na maandiko yao kutokuwa na sifa za kuweza kupata fedha na hali yao ya uchumi bado ipo mbaya sana.

“Leo hii unapoona halmashauri zimepewa nafasi hiyo lakini still zimelala kuanzia wilayani hadi mkoani hapo kuna matatizo,”alisema Waziri Jafo.

Alibainisha kuwa ni lazima kubadili mbinu za ukusanyaji wa mapato kwa kuwa serikali lengo lake kubwa ni kuhakikisha inaondoa mzigo kwa watu wanyonge na ili hizo kodi na tozo zenye kero ziweze kuondoka ni lazima halmashauri iweze kupata mapato kwa njia nyingine mbadala.

“Jiji la Dodoma hawapo hapa,sijui kiburi cha  kukusanya mapato mengi ndio maana hawataki kuja hapa na fedha hizo ujue ni fedha za kwetu tumeandikia miradi sisi ya TSP  wala hawajaandika ya kwao,nilitamani waje hapa wajifunze, leo hii Dodoma mpaka mwezi huu wameshakusanya Sh.Bilioni 60 wangekuja hapa wangepata maarifa mengine zaidi,"alisema.

Alizitaka halmashauri kutekeleza miradi inayopelekwa kwao bila ya kusua sua kwa kuingiza maslahi yao hasa katika ajenda ya manunuzi ambapo kila mtu anaenda na makaratasi yake ikiwa na mkadarasi wake hali inayofanya miradi hiyo kutoendelea mbele .

Awali, Mkurugenzi Msaidizi Idara za Serikali za Mitaa, Angelista Kihaga alisema miradi ya kimkakati ni utaratibu mpya wa serikali wa kutoa fedha za maendeleo kwa mamlaka za serikali za mitaa.

Naye, Kaimu Mkuu wa Chuo cha Hombolo Dk. Michael Msendekwa alisema mafunzo hayo yametokana na tafiti zilizofanywa na chuo hicho kuonyesha kuna changamoto katika maandishi ya miradi katika mamlaka za serikali za mitaa.

Alisema mafunzo hayo yanatolewa kwa ushirikiano baina ya TAMISEMI na Wizara ya Fedha lengo likiwa ni kuelekezana na kusaidiana kutatua changamoto hiyo.


Matangazo

  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Taarifa ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri kwa kipindi cha nusu Mwaka (Julai – Disemba, 2019) kwa Mwaka wa fedha 2019/2020 February 09, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • “PS3 plus” Yarudi kwa kishindo, Bilioni 114 kuwezesha Mifumo Sekta ya umma nchini

    January 16, 2021
  • Serikali yagawa vifaa vya bilioni 3 kwa Wanafunzi 18,488 wenye mahitaji maalum

    January 14, 2021
  • Mweli awatolea uvivu kidato cha Nne, Sita, awajenga kinidhamu

    January 11, 2021
  • Mweli awatega Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu kwenye Mfumo wa PREM/PREMS.

    January 10, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.