• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Uongozi Wilaya Chamwino watakiwa kujiandaa kwa dharura ya Corona

Imewekwa tar.: April 22nd, 2020

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo ameutaka uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kukamilisha mahitaji muhimu ya Hospitali ya Wilaya hiyo ambayo iko katika hatua za ukamilishaji wa ujenzi kwa tahadhari ya kupokea wagonjwa wa Corona endapo hali isipotengemaa.

Mhe.Jafo ameyasema hayo mapema leo alipotembelea Hospitali hiyo inayojengwa katika eneo la Mlowo Wilayani Chamwino na kukuta ujenzi katika hatua za ukamilishaji kisha kutoa rai hiyo kwa viongozi  kujiandaa mapema na Janga hili la Kidunia.

Amesema kutokana na Jiografia ya hospitali hii kuwa imejitenga kabisa na maeneo ya makazi ya watu ninashauri muandae jengo moja maalumu na mlikamilishe kwa kila kitu kinachohitajika ili endapo janga hili likiendelea jengo hilo litumika kwa ajili ya kutoa huduma kwa wagonjwa wa Korona.

“Kwa hali tuliyonayo sasa hatutakiwa kukaa kusubiria mpaka hali iwe mbaya zaidi tunatakiwa kuendelea kujikinga na kuchukua tahadhari za awali kabisa ikiwa ni pamoja na kuandaa maeneo ya kutolea huduma kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa huu hatari na hospitail yetu hii naona inafaa kabisa kwa kuwa ina sifa zote” alisisitiza Jafo.

Wakati huo huo Waziri Jafo aliwapongeza viongozi wa Halmashauri ya Chamwino kwa kusimamia kwa makini ujenzi wa Hospital hiyo na kuhakikisha kuwa inakamilika kwa ubora wa hali ya juu na kwa wakati.

“Nimefurahi kukuta ujenzi umefikia katika hatua hii ya ukamilishaji, vitu vidogo sana ndio vimebakia kumalizia kabisa ujenzi na majengo yote yanaonekana kuwa na ubora wa hali ya juu hakika nimefurahishwa na hatua hii na hongereni sana” Alisema Jafo.

Haya kwangu mimi naona kama ni mafanikio kwani mwanzoni hali ilikua mbaya,  ujenzi ulikua unasuasua nilitumia nguvu  kufuatilia na kusimamia lakini kwa sasa wote tunajivunia mafanikio haya huu ndio uongozi wa pamoja unaotakiwa katika utekelezaji wa miradi.

Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino ni miongoni mwa HospitaIi za Halmashauri 71  zinazoendelea kujengwa Nchini Kote kupitia mpango wa Maboresho wa Huduma za Afya unaosimamiwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI.


Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Vikundi 47 Kondoa vyapewa mikopo ya shilingi milioni 147

    February 24, 2021
  • Mikopo ya Shilingi Milioni 85 yatolewa kwa Vikundi wilayani Bunda

    February 24, 2021
  • Mradi wa Fursa na Vikwazo Iliyoboreshwa Kuingizwa kwenye Majukumu ya OR - TAMISEMI

    February 23, 2021
  • Mikopo ya Sh. Milioni 850 yatolewa kwa Vikundi 104 jijini Tanga

    February 15, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.