Swahili
  • English
  • Swahili
    • Kituo cha Huduma kwa Wananchi |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
    • Muundo wa Wizara
    • Idara na Vitengo
    • Taasisi za Wizara
    • Majukumu ya Idara na Vitengo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Taasisi
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Msimbazi Basin Development Project
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
    • Mfumo wa kusajili Wajasiriamali Wadogo
  • Kituo cha Habari
    • Habari Mpya
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa Umma
    • Youtube Channel
    • Instagram
    • Twitter
    • Facebook
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Machapisho
      • Taarifa za Mapato
      • Majarida
      • Fomu Mbali mbali
      • Presentations
      • Ramani za mradi wa BOOST
      • Program ya SCALE
    • Miongozo
      • Miongozo OR TAMISEMI
      • Miongozo ya Elimu
      • Green and Smart Cities
      • Miongozo ya Kilimo
      • Miongozo ya Afya
    • Michoro ya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya
    • Fomu
    • SIS Mobile App
    • Nyaraka Mbalimbali
  • Mifumo
    • Mikopo ya 10% ya Halmashauri
    • Ajira za Elimu & Afya
    • Mfumo wa Tarifa za Shule (SIS)
  • Maktaba ya Video

GoTHOMIS Twendeni Mwendo wa Mhe. Rais, Dkt. Gwajima

Imewekwa tar.: November 9th, 2019

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima amesema hatuwezikani kuipeleka nchi kwa kila mtu kuwa na mwendo wake, kwakuwa mwendo uliokubalika sasa ni wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli na si vinginevyo na anayeshindwa kwenda na mwendo huo katika kuwezesha mfumo wa GoTHOMIS ni bora akapisha ili watu wengine wenye uwezo waweze kuchukua nafasi.

Akiongea na timu ya Afya ya Mkoa wa Mwanza pamoja na Halmashauri zake katika ukumbi wa Mamlaka ya dawa nchini TMDA jiji Mwanza kuhusu matumizi ya Mfumo wa uendeshaji wa shughuli za afya nchini Tanzania (GoTHOMIS), amesema kuanzia sasa kila mwezi Halmashauri zita tatakiwa kununua Komputa moja kwaajili ya kufunga mfumo kwenye vituo.

“Haiwezekani kwa zaidi ya miaka minne, tunaimba wimbo mmoja wa GoTHOMIS, wengine wamefunga wengine hwataki, humo ndio wamegeuza chaka la kupigia, sasa nasema haiwezekani, nataka kila mwezi inunuliwe komputa moja kwakuwa miundombinu ya mtandao kiambo ilishafungwa, hivyo sintasikiliza hadithi za nimeweka kwenye bajeti ya mwaka ujao” alisema Dkt. Gwajima.

Akiwa katika ziara ya ufatiliaji wa utendaji kazi kwenye Mkoa wa Mwanza, Dkt. Gwajima hakusita kuwapongeza viongozi wa mkoa huo kwa namna wanavyo shirikiana na watendaji katika kusukuma shughuli za maendeleo.

“Nimepita Magu na leo nimetembelea Manispaa ya Ilemela na Jiji la Mwanza kote nilikopita unaona kabisa watendaji walivyo na moyo wa kazi, Magu nimeshuhudia Duka la Dawa ambalo  Serikali tulisha agiza kwa zaidi ya miezi minane sasa, lakini kuna ambao bado hawajaanza lakini hapa Mwanza mmeweza na nikaambiwa Duka kama hilo pia limeanzishwa  Nyamagana, kweli ninyi niwa mfano, sasa hao ambao bado sijui wanakwama wapi?. Alihoji Dkt. Gwajima.

Aidha Dkt. Gwajima hakusita kusema kuanzia sasa hatakuwa tayari kusikia suala la kikosi kazi, kwani timu iliyopo Mwanza inajitosheleza kabisa na mpango nikuifanya Mwanza kuwa sehemu yakutolea elimu kwenye maeneo mengine ya nchi ambayo bado hawajajua namna gani tunataka kutembea kwa sasa.

“Mhe. Mkuu wa Mkoa, nimefika Ilemela, yule Mganga Mkuu anaye Kaimu Nafasi hiyo kwa sasa unamuona kabisa ni Field Doctor, mbali na ubora wa majengo ambayo mimi nimeyapa namba moja, lakini Daktari anayajua utazani ndio mhandisi kwakweli mimi watu kama hao hatutasita kuwatumia kama agent of change in software, hivyo ninaposema Mwanza ni Center of Excellent ninamaanisha hawa ndio watu tunaowahitaji katika wakati wa sasa” alisisitiza Dkt. Gwajima.

Mbali na Ilemela katika ziara hiyo, Dkt Gwajima hakuacha kutoa pongezi zake kwa Jiji la Mwanza kutokana na kuwa makini katika kila idara zake. Akitoa majumuisho yake Mbele ya Mkuu wa Mkoa alisema, mbali na kaguzi ambazo zimezoeleka wao kama wataalam wameshangazwa sana na Jiji hilo kwani walichokiona ni nadra sana kukutana nacho katika maeneo mengine.

“Mhe. Mkuu wa Mkoa sisi huwa tunazama zaidi kwenye hizi kaguzi zaidi ya kuangalia kaguzi za kawaida kwani hata utaratibu za uchukuaji dawa kutoka hifadhi kuu, hifadhi ya kati mpaka inapo mfikia mgojwa kwakweli taratibu zimezingatiwa kwakujaza kila mahali dawa au kitendanishi kinapo pelekwa ndani ya vitabu maalumu (Ledger) niseme Mwanza  Jiji wameweza, alisema Dkt. Gwajima.

Awali akitoa taarifa ya Afya ya Mkoa huo, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dkt. Thomas Rutachunzibwa alisema, Mkoa wamejipanga vizuri kuhakikisha unatoa huduma bora kwa wananchi lakini hata mwenendo wa ufatiliaji na mtindo wamebadilisha.

“Mhe. Naibu Katibu Mkuu, kuanzisa sasa kaguzi zetu zinahusisha wadau lakini pia kupitia viongozi wetu Mkuu wa Mkoa na Kamati yake ya ulinzi na usalama hivi sasa kaguzi zote zitahusisha wakaguzi wa ndani na hii nikutokana na kushirikisha mawazo huru kutoka kwa wadau tofauti tofauti ambao katika kujadiliana hata sisi tumeona inatija na ufanisi” alisema Dkt. Rutachunzibwa.

Naibu Katibu Mkuu Dkt. Dorothy Gwajima, tayari amesha fanya ziara kwenye Mikoa ya Mara, Simiyu na Mwanza na tarehe 08 Novemba, 2019 atakuwepo mkoani Shinyanga na Tabora kuendelea na ziara hiyo ambayo ameambata na wataalam kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, shabaha kuu ya ziara hiyo ikiwa ni pamoja na mkakati wa kuborsha huduma za afya kwa kutoa elimu kwa wataalamu hao waweze kubadilika kifikra lakini pia kuangalia hali ya ujenzi wa majengo ya Hospitali za Wilaya zilizo pokea bilioni 1.5 kwaajili ya ujenzi mwezi januari, 2019.

Na. Atley Kuni-OR-TAMISEMI, Mwanza.

Duka la dawa katika Halmashauri ya magu mkoani Mwanza ambalo limekuwa mkombozi kwa wannanchi

wanapokosa baadhi ya dawa hospitalini na imeongeza mapato ya Hospitali.

Naibu Katibu Mkuu akikagua Duka la Dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza.

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, akitoa taarifa ya Mkoa

Baaadhi wa Wataalamu kutoa kamati za Afya za Mkoa wa Mwanza, wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu

Dkt. Dororthy Gwajima wakati wa ziara yake mkoani humo

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KUJITOLEA KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA KADA YA ELIMU CHINI YA MRADI WA GPE - TSP May 17, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MKATABA KWA KADA YA AFISA LISHE May 13, 2025
  • DMDP 2 Dar SWM Service Framework & Delivery System - REOI Advert May 12, 2025
  • Msimbazi Watershed Management - REOI Advert May 12, 2025
  • Fursa kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne 2024 kubadili Tahasusi na Kozi April 02, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA - TAMISEMI 2025 March 15, 2025
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI

    May 23, 2025
  • PJT-MMMAM Yawezesha Uanzishwaji wa Vituo 206 vya Malezi ya Watoto Wadogo

    May 21, 2025
  • SERIKALI KUJENGA DARAJA LINALOUNGANISHA KIJIJI CHA NEGERO – KILINDI

    May 21, 2025
  • MHE. MCHENGERWA ABORESHA TAARIFA ZAKE KWENYE  DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri Kairuki atoa maagizo DART
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Mfumo wa ugavi-Wizara ya Afya
  • Wazo la Waziri
  • Michoro ya Ujenzi
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya
  • Mfumo wa Kusajili Wajasiriamali Wadogo

Tovuti Muhimu

  • Ajira za Tamisemi
  • Mfumo wa vibali vya kusafiri nje ya nchi
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Wizara ya Fedha
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania

    Simu: +255 262 321 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.