• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Dmdp yaleta mabadiliko Jijini Dar es Salaam

Imewekwa tar.: October 30th, 2018

Wakati utekelezaji wa mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam(Dmdp) ukiwa umefikia nusu katika awamu ya kwanza 2015/16-2020/21 mafanikio yameanza kuonekana kwa kiasi kikubwa ambayo moja kwa moja yanampunguzia changamoto mwananchi wa Dar es salaam.

Akizungumza katika kikao cha mapatio ya utekelezaji wa mradi kinachoendelea JIjini Dar es salaam Mratibu wa miradi inayofadhiliwa na Benki ya Dunia chini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandishi Davis Shemangale amesema kwa kipindi cha miaka takribani mitatu ya utekelezaji wa mradi huu umetekelezwa kwa mafanikio kwa kuwa malengo yaliyowekwa yamefikiwa.  

Shemangale amesema kuwa kupitia mradi huu baadhi ya mitaa sasa inaweza kuwasiliana kwa urahisi zaidi kwa kuwa imeunganishwa na mtandao mzuri wa barabara, foleni zinaendelea kupungua sababu barabara za mrisho zimetengenezwa na zinapitika kwa urahisi, mfumo wa mawasiliano umeboreshwa na usalama wa mitaa umeimarishwa kwa barabara zote zilizojengwa kupitia mradi kuwekwa na Taa.

“Mradi huu ukiwa unaakisi Mpango wa Taifa wa kukuza uchumi na kupunguza umasikini umeweza kutoa ajira za moja kwa moja kwa wakazi wa Jiji hili kupitia shughuli mbalimbali za mradi zinazoendelea na pia kutengeneza mazingira bora na rafiki kwa wananchi kuweza kujiajiri na kujipatia kipato alisema Shemangale”.

Aliongeza kuwa mradi umefanikiwa kujenga madaraja, vivuko, kingo za mito, pamoja na mifereji ya  kusafirishia mvua kwa kiasi kikubwa imeweza kupunguza athari za mafuko katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es saalam.

Aidha Mhandishi Shemangale alizungumzia malipo ya fidia kwa wananchi walioathirika na mradi katika Manispaa za Ilala na Kinondoni kuwa Wizara ya Fedha na Mipango imekwisha hakiki madai hayo na  wakati wowote waathirika watalipwa fidia.


Msimamizi Kiongozi  wa DMDP toka Benki ya Dunia Erick Dickson amesema amejionea mwenyewe mafaniko ya mradi na faida zinazopatokana lakini pia amesisitiza zaidi  kuzingatia zile athari zinazoweza kutoka wakati wa utekelezaji wa mradi na kujali muda ili kazi zote za mradi ziweze kutekelezwa kwa ubora unaotakiwa.

Mradi wa DMDP, unatekelezwa na Serikali katika Halmashauri tatu za Ilala, Temeke na Kinondoni ili kukabiliana na changamoto ya ubovu wa miundombinu.

Benki ya Dunia imetoa mkopo nafuu kwa Serikali wa USD 300 Milioni ambazo ni takribani Tsh. Bil 660 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu na Shirika la Maendeleo la Nchi za Nodric  limetoa  USD  Mil. Tano (5) ambazo ni ruzuku  kwa Serikali kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya Nchi.

Aidha Serikali ya Uingereza kupitia Shirika la Maendeleo la “DFID” limechangia ruzuku ya USD Mil. 20  katika kuboresha Bonde la Mto Msimbazi chini ya  Mpango wa ‘Tanzania Urban Resilience Programme’.

Serikali ya Tanzaia  inachangia Dola milioni 25.20 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wakazi watakaoathirika na mradi huo.

Matangazo

  • Taarifa ya robo ya pili ya mapato ya Halmashauri, iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI January 21, 2021
  • Orodha ya majina ya matokeo ya kidato cha nne,cha pili na darasa la nne January 18, 2021
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Wakurugenzi watakiwa kujitathimini Ukusanyaji wa Mapato

    January 21, 2021
  • Dodoma wapongezwa, wapewa miezi 5 kukamilisha ujenzi wa barabara

    January 20, 2021
  • Shule ya Msingi Nkuhungu yapewa siku 14 kukarabatiwa

    January 20, 2021
  • Asilimia 10 inavyoibua Wajasiriamali Arusha

    January 19, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.