• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Malalamiko |
    • Barua pepe za watumishi |
PO-RALG

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

  • Mwanzo
  • Utawala
  • Kuhusu Sisi
    • Local Government History
    • Kuhusu Wizara
      • Directories
    • Dira na Dhima
    • Majukumu ya Wizara
    • Mkataba wa Huduma kwa mteja
    • Idara
  • Mikoa
    • Arusha
    • Dar es Salaam
    • Dodoma
    • Geita
    • Iringa
    • Kigoma
    • Kilimanjaro
    • Lindi
    • Mbeya
    • Mara
    • Mtwara
    • Mwanza
    • Morogoro
    • Kagera
    • Manyara
    • Katavi
    • Pwani
    • Ruvuma
    • Rukwa
    • Shinyanga
    • Simiyu
    • Songwe
    • Tanga
    • Tabora
    • Njombe
    • Singida
  • Miradi na Programu
    • Tanzania Strategic Cities Project
    • MradiwaUendelezajiwaJiji la Dar es Salaam (DMDP)
    • Programu ya Miji Endeelevu (ULGSP)
    • Mradiwa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo (O &OD)
    • v. Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Decentralized Climate Finance Project)
    • Programmu ya Maendeleo ya Sekta ya Kilimo (ASDP)
    • Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3)
    • UNFPA
    • Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Wabunge (MP’s Office)
    • Mradiwa Ukarabati wa Vituo vya kutolea huduma za Afya
    • Primary school Development Plan
    • Secondary school Development Plan
    • Programu ya Usambazaji Maji Vijijini
    • Programu ya kuzisaidia Serikali za Mitaa
    • Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo wa Serikali za Mitaa
    • Mradi waujenzi wa Kituo cha Kumbukumbu za Serikali za Mitaa
    • Programu ya Uhamasishaji na Uchambuzi wa Sera
    • Mfuko wa Pamoja wa Afya (Busket Fund)
    • LIC
    • Program (PFMRP)
    • Rural - Urban window
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Speech
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Machapisho ya Halmashauri
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Taarifa za Mapato
    • Majarida
    • Fomu Mbali mbali
    • Presentations
  • Miongozo
    • Miongozo OR TAMISEMI
    • Miongozo ya mradi wa SEQUIP
  • Vijiji na Miji
  • Nyaraka
    • Nyaraka za Elimu
    • Nyaraka za Afya

Bilioni 16 Zatolewa Kuboresha Miundombinu ya Elimu Kwenye Mikoa 17

Imewekwa tar.: August 15th, 2020

Na. Fred Kibano – Monduli na Karatu

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Gerald Mweli, amesema jumla shilingi Bilioni 16 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya vyoo kwenye mikoa 17 nchini.

Mweli ameyasema hayo jana kwa nyakati tofauti wakati akiongea na walimu na baadhi ya Viongozi wilayani Monduli na Karatu kuwa kiasi hicho cha fedha kimtengwa kukabiliana na upungufu wa matundu ya vyoo kwenye shule 600 za msingi zilizopo katika mikoa 17 na kwamba mikoa mingine yenye shule 900 pia itaendelea kupokea fedha kwa awamu zinazofuta.

“bilioni 16 zimetolewa kwa shule za msingi kati ya 1500 zinazokusudiwa ili kuboresha miundombinu ya vyoo, bilioni 20 zimelipwa kwa walimu kama malimbikizo ya mishahara na Serikali itaendelea kulipa madai ya walimu baada ya uhakiki wa mwisho kufanyika”

Akiwa wilayani Karatu ameridhishwa na kasi ya walimu wa shule ya sekondari Karatu walivyojipanga katika kuinua taaluma na ufaulu wa wanafunzi na kusema wanafunzi wote wenye utovu wa nidhamu hawakubaliki mashuleni, hii inafuatia kwa jumla ya wanafunzi 21 wa kidato cha sita kufutwa shule kutokana na utovu wa nidhamu kwa kuanzisha migomo isiyo na tija shuleni hapo hali iliyopelekea kufutwa shule siku moja kabla ya mtihani wa mwisho wa kidato cha sita 2020.

Kwa upande wake Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu Msingi Ofisi ya Rais TAMISEMI Suzan Nussu amewaasa wanafunzi wa sekondari ya Karatu bweni wavulana kusoma kwa bidii na maarifa ili kutoa mchango wao kwa Taifa la kesho kwani matarajio ya nchi ni kuona wanajiunga na vyuo mbalimbali vya Elimu na fani nyingine.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Monduli Bwana Robert Amos ametoa ombi kwa Serikali la kuanzisha maktaba za kisasa ambazo zitakuwa na vitabu vya kawaida na vya nakala laini (soft books) na kuwa na maktaba mtandao katika wilaya zote nchini ili kuwainua wasomi walio kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa na Watanzania kwa ujumla wanaosomea masomo na fani mbalimbali ili kuliinua Taifa.

Naye mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Manyara bweni wilayani Monduli Bwana Epimark Emmay amesema jumla ya shilingi Bilioni 3.3 zimetolewa na Wadau wa African Wildlife Foundation (AWF) kufadhili ujenzi wa miundombinu mipya ya elimu shuleni hapo ikiwa ni pamoja na madarasa, matundu ya vyoo, nyumba za walimu, bwalo, mabweni, jiko pamoja na samani za shule na kwamba changamoto iliyobakia ni kutokuwa na usafiri wa uhakika ambao hata hivyo Naibu Katibu Mkuu (ELIMU) Ofisi ya Rais TAMISEMI Bwana Gerald Mweli aliahidi kulishughulikia.

Miradi aliyotembelea Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Gerald Mweli ni pamoja na shule za sekondari na shule za msingi.




Matangazo

  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Mwaka 2021 December 18, 2020
  • Michoro ya jengo la Ofisi za Halmashauri za Wilaya May 07, 2020
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOPANGWA KWENYE VITUO VYA KAZI NOVEMBA 2020 November 27, 2020
  • Orodha ya Vituo vya Afya na Zahanati vilivyo karabatiwa February 27, 2020
  • Taarifa ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri kwa kipindi cha nusu Mwaka (Julai – Disemba, 2019) kwa Mwaka wa fedha 2019/2020 February 09, 2020
  • Tangazo la kazi kada ya Afya January 20, 2020
  • Angalia zote

Taarifa Mpya

  • Serikali yagawa vifaa vya bilioni 3 kwa Wanafunzi 18,488 wenye mahitaji maalum

    January 14, 2021
  • Mweli awatolea uvivu kidato cha Nne, Sita, awajenga kinidhamu

    January 11, 2021
  • Mweli awatega Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu kwenye Mfumo wa PREM/PREMS.

    January 10, 2021
  • Msiwe kikwazo kwa watumishi wapya- Mweli

    January 09, 2021
  • Angalia zote

Video

Tathmini Matokeo darasa la saba 2020
video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Miongozo ya OR TAMISEMI
  • Majarida Yetu
  • Wazo la Waziri
  • Maktaba ya picha
  • Fomu mbalimbali
  • Historia ya taasisi
  • Taarifa kwa Umma
  • Maktaba ya picha
  • TSCP kwa Undani
  • Uendelezaji Jiji la DSM DMDP
  • Uboreshaji wa Miji
  • Decentralised Climate Finance Project
  • O&OD Report
  • CAG Report
  • Habari mpya

Tovuti Muhimu

  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)
  • Health System Strengthening Resource Center (HSSRC)
  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wizara ya Afya
  • Ajira
  • Wizara ya Fedha
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tume ya Ajira Tanzania
  • Wizara ya Elimu

Waliotembelea kijiografia

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

    S.L.P: 1923 Dodoma - Tanzania, Afrika Mashariki

    Simu: + 255 (26) 232 1 234

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ps@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Waliotembelea

Imeanza Kuhesabu kuanzia Tar.27. Julai 2015
click here

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2018 Tamisemi. All rights reserved.