Ufuatiliaji wa miradi ya maji

President's Office Regional Administration and Local Government

Idara ya Uratibu wa Kisekta kwa kushiriikiana na Idara mbalimbali za Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa itafanya ziara ya ufuatiliaji wa Miradi ya Mji na Usafi wa Mazingira vijijini.

Kwa mujibu wa hadidu za rejea, timu ya wafuatiliaji pamoja na kupata taarifa mbalimbali italazimika kutembelea miradi ya maji ilivyotekelezwa hususani ile iliyohusisha huduma kwa vijiji vingi.

Ziara hiyo ilianza mwezi machi na inatarajiwa kukamilika tarehe 4 aprili, 2017.

INFORMATION
Vigezo vya uanzishaji na upandishaji hadhi wa mamlaka za serikali za mitaa
Taratibu za kupandishwa vyeo na mafunzo kwa watumishi wa MSM
Utaratibu wa Jinsi ya Kushughulikia Malalamiko Serikalini.
Maelezo kuhusu utaratibu wa uhamisho kwa watumishi wa Umma
Majukumu Na kazi za Meya,Madiwani,Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji.
EVENTS
SIGN UP

COUNTER STARTED ON:27th July 2015.